Je, ni sahihi waziri kufanya shughuli za Kiserikali akiwa amevaa gwanda za CCM?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,315
5,052
Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.

Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari hayo baada ya hafla ya uwasilishaji wa tarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 katika Jimbo la Vunjo kwa kipindi cha mwaka 2022/23.

 

☝️Na hawa waliovaa kijani kijivu je
Hivi hawa nao CCM? wako Serikalini?
 
Hao Viongozi Wakibanwa Wanapokosea Hujificha Ndani Ya CCM
Kwanza Hawajui Dressing Code
Nguo Zao Zinavaliwa Wapi, Endapo Kazi Ni Ya Serikali Wavae Vp
Tazama Maajabu Muda Wanamsifia Hanganya
Aliyepita Hivyo Hivyo
Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu Zangu In jiwe Voice
 
Katiba itakataza mavazi 🤣🤣🤣 hiyo katiba itakua kitabu kikubwa kuwahi kutokea duniani.
Hili nalo ni tatizo, ndani ya katiba kuna kifungu kinachokataza kuchanganya shughuri za serikali na vyama vya siasa, mbona bungeni bado wanaendelea kutekeleza hilo.
 
Wapi tena?
Una maana hao majaamaa ni mamiti tu yapo yapo tu?

Ndio nimeuliza hao ni CCM, wanafanya Serikalini?

Wewe umekuja na na masuala ya Tabia nchi na COP28 loh😅😊
Kwenye picha ni miti tu ndiyo ya kijani kama ulivyoandika.
 
Unafikiri wanajari ... CHAMA KIMESHIKA UTAMU ...... Halafu Rais ndiye Mama Mkwe unategemea nini....!!?
 
Wakili Madeleka yupo Mitaa jirani na hapo? Ebu mwambie amfungulie kesi Waziri kwa kosa la kuvaa shati la rangi ya kijani akiwa Mtumishi halali wa Serikali! Fanya chap Dogo!!
 
Ushaambiwa anatekeleza ilani ya chama sa sjui unahoji nn wakat maelezo yanajieleza
 
Amevaa vazi la rangi ya kijani au amevaa sare ya chama?

Kinachoonyesha kwamba amevaa sare ya chama ni kitu gani?

Je, kwa Tanzania mtu anaweza kuwa waziri bila kuwa Mbunge?

Mtu anaweza kuwa Mbunge kama siyo mwanachama wa chama cha siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…