Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,852
- 11,964
Straight to the point.
Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa.
Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali.
Wanachotaka ni uwe umenunua muda wa maongezi (uwaingizie faida) mara kadhaa ndipo uruhusiwe kukopa.
Sasa Kwa kuwa tayar mteja kawaingizia faida mara kadhaa iweje akopeshwe (bidhaa) Kwa riba tena riba ya 20%
Kwa mtazamo wangu naona Kwa kuwa huo muda wa maongezi ni bidhaa Yao Kwa maana ya kwamba hata bila kuweka riba wanapata faida why wanazid kumuumiza mteja wao kiasi hiki?
Mliofika nchi za wenzetu je hali NI hii hii?
Serikali inalo jukum la kushirik kuwapunguzia ugum wa maisha wananchi hivyo ni vyema Mambo mengine haya yanaonekana madogi lakin yanaumiza Sana wananchi wa hali ya Chini kwani wao ndio wahanga wakubwa