Je, ni Propaganda na Media Manipulation? Tuonesheni mchanga wote!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
2017-03-25_17.55.54.jpg


SioKweli ati Kuwa Watu wanaficha Magari kwenye Makontainer ya Magari hasa ya Thamwni ili Kuyaficha. Magodoro makuuku na Mitumba inatumika ili Kuzuia Magarari hayo yasikwaruzike. Kwani Utakuta Marobota Mawili ya Mtumba hata Laki 5 hayafiki kwa hiyo ni Busara kununua Mitumba na Kuitumia kama picking cushions!


Kwa hiyo ni Uwezekano Mkubwa upo kuwa. Ile Movie ya Magufuli ilikuwa ni Kukata Makuguli kwenye container zenye Magari yaliyokuwa yamekuwa cushioned na Mitumba na sio yaliyodanganyiwa ni ya Mitumba!


Kadhalika Pia yamesemekana Kuna Makontainer ya udongo wa dhahabu ambao eti haturuhusiwi kuuona ati Rais anaogopa Tutalia Machozi,


1)Mawazo alipouawa kinyama na kisha akakataliwa asizikwe tulilia machozi

2)Wabunge walipopelekewa Mbwa Bungeni tulilia Machozi

3)Watoto 7900 walipotimuliwa katika stendi za Magari na kuitwa Vilazza Tulitlia Machozi

4)Lipumba alivyosaidiwa na Polisi Kuvunja Ofisi za Cuf tulilia machozi

5)Lema alivhokamatwa kwa kusimulia Ndoto aliyoiota na kuwekwa rumande miezi 4 tulilia machozi

6)Vita vya Madawa vilipogeuzwa na kutumiwa Kisiasa na kuchafuana tulilia Machozi

7)Bashite RC wa Dar alipogeuza Vita vya madawa kuwa mtaji wa kujipatia Magari ya thamani na Magu unaiona hiyo ni kazi, ukamwambia aichape, tulilia machozi

8) Bashite alipovamia Clouds tulilia Machozi.

9) Ulivyotujibu Kunya pale Ubungo tulilia machozi

10) Nape alipolengwa na kutishiwa na bastola, tulilia machozi.


Sasa Kulia Tumezoea Tunataka Kuona kwa kuwakilishwa na Wanahabari, Tunataka kuona Makontena hayo uliyosema na Yale Speaker Ndugai anayosema yote yakifuunguliwa, sio kazi yako Kutuzuia Kulia au kutokulia, Acha tulie nchi ni yetu, macho ni yetu na machozi ni yetu, vinginevyo tutachukulia ni Mediea Manipulation.


 
mchanga, utoke geita, kahama, mpaka wafika Dar es salaam, then wanakuja uficha bandarini???? Khah! hata kama sijui kuona hata kufikiri iwe shida?? Hii muvi sijui itaisha lini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom