Je, ni lini Marekani itaanza kushughulika na Museveni kama ilivyodeal na Gadaffi mwaka 2011?

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
461
1,273
Wakuu habari zenu.

Its no longer news kuwa siku ya jana kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine alipigwa risasi ya mguu na vikosi vya usalama vya Uganda.

Soma pia: Boby Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

We also know kwamba kwa miaka ya hivi karibuni, mahusiano ya Uganda na Marekani yamekuwa at its lowest in years.

In several occasions, Museveni publicly ameikosoa Marekani kuwa ina tabia za kibabe.

Mambo yalikuja kuwa sukari zaidi mwaka 2023 baada ya bunge la Uganda kupitisha Anti Homosexuality act, sheria ambayo uongozi wa Joe Biden iliita ni Shameful Act.

So far, kuna baadhi ya viongozi wa Uganda wameekewa vikwazo vya kuingia Marekani, World Bank walisitisha mikopo mipya kuingia Uganda na kubwa zaidi Uganda ilitolewa kwenye mkataba wa AGOA ambao ulikuwa unaiwezesha Uganda kupeleka bidhaa zake nchini Marekani DUTY FREE

photo_5963120778767615088_x.jpg

Ni kama Museveni anazidi kuwakalia vibaya Marekani pamoja na washirika wake yaani the West meanwhile Bobi Wine, mpinzani wake, ana urafiki mkubwa na viongozi pamoja na waandishi mbalimbali kutoka Marekani na West kwa ujumla including Jeffrey Smith na Robert Amsterdam.

Is it possible for Bobi Wine kutumika kama rebel leader wa kumuondoa Museveni kwa nguvu madarakani kama ambavyo Khalifa Haftar alitumika kumuondoa Gadaffi mwaka 2011?

Naona kuna kila dalili ya kilichomkuta Gadaffi kitaenda pia kumkuta Museveni muda sio mrefu. Kila dalili inaonesha hivyo.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom