Je, ni kweli Tanesco wanalipa kodi ya pango?!

Kwani wewe hauwezi kujikopesha mkuu? Wahasibu waje kutusaidia hapo. Sijajua msingi wa swali lako japo najua lina maana.
Nafikiri wanafanya kama vile wangekua wanalipa kodi wangekua wanalipa hiyo pesa na kwa vile walitumia pesa kiasi fulani kujenga jengo lao, ni kama wanapunguza mahesabu ya ile pesa waliyotumia kujenga, huenda walikopa wakati wa hujenzi, nchi ya watu hii mkuu!!
 
tatizo ni kwamba hiyo pesa analipwa mtu binafsi, inashangaza sana
 
Story tu za vijiweni
Tanesco wana kodi majengo ya ofisi za mikoani na wilayani
makao makuu ni mali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…