Je, ni kweli saizi ya sehemu za siri za kike huendana na saizi ya mdomo?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,610
17,052
Najua wengi mmeshasikia watu wanasema ukitaka kujua saizi ya uke wa mwanamke muangalie mdomo wake...UTAJUA!

Kama ana domo kubwa kama chai jaba basi chini nako ni CHIU panaaa kubwaaa...

Kama ana kidomo kiduchu basi kazi unayoooo kama una MACHINE kuuubwaa kimbiaaaa utaumiza toto za watu!

Swali langu ni hili: Kama wanawake tunapimwa kwa size ya mdomo, je wanaume wanapimwa kwa saizi gani?

Ni hayo tu nasubiri majibu
 
Kuna muIvory cost mmoja, mfupi mwembamba anamashine hiyo, duh nene then imeenda hewa. Wataalam tuambieni inategemeana na nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…