Je, ni kweli mtumishi wa umma akistaafu akapata stahiki zote na kiinua mgongo ndani ya miaka 3 kisha kufariki watoto hawapati chochote PSSSF?

May 21, 2024
1
0
Nimeteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi wa Mali za mama yangu mzazi mahakamani. Nilipoenda PSSSF nilichoelezwa ni kuwa kama mama alishastaafu na kupewa kiinua mgongo na kuwa amepokea zaidi ya miaka mitatu hela za kila mwezi zinazotokaga basi sisi kama watoto hatutanufaika na chochote.

Je, hili ni takwa la sheria ama hapa nimezulumiwa haki yangu?
 
Back
Top Bottom