Je, ni kweli matokeo ya Kidato cha 6 - 2024 yatatoka Julai 12 kama wasemavyo HESLB?

Amani Ngailo

Member
Jun 2, 2024
5
2
Je Ni kweli kuwa matokeo ya form six 2024 yanatoka 12 July kulingana na picha hiyo hapo chini
IMG-20240629-WA0004.jpg
 
Hivi kuna necta yoyote ilishawahi kutangazwa usiku??. Nikimaanisha kuwa wanafunzi waamke asubuhi na kukuta majibu au matokeo yako mtandaoni.
 
Back
Top Bottom