Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,387
- 9,566
Lastweek nilikua na mgeni wangu kutoka South Africa, tulikua kwenye spot moja maarufu tu hapa dar.
Tulipokua pale walikuja vijana watano, wawili wakike na watatu walikua wakiume lkn wanaonekana kabisa ni mashoga. Kwa kuwa tulikua tumerelax tu tunabadili mawazo yule msouth akaniuliza "Does tanzania accept LGBT too?" Nikamwambia mamlaka bado haijaweka wazi.
Hilo swala likazua mjadala kati yetu, kwenye maongezi yetu tukisapotiwa na data tukaona kuna ongezeko kubwa sana la mashoga. Na kibaya zaidi kuna wengine wanazaliwa wakiwa hivyo toka utotoni.
Tukaenda mbali zaidi, kibaiolojia kila kiumbe kikiwa kinaanza kitungwa tumboni mwa mwanamke huwa kinakua cha kike, yaan hata kama ww ni mwanaume lkn kwenye hatua za mwanzo kibaiolojia ww ulikua mwanamke (that's a biological fact).
Tukapata research moja inasema in 2000 years Y chromosome inaenda kuwa extinct, sababu inapitia transformation kwa sasa. Kwa msiojua Y chromosome ni gene ya kiume.
Tukabaki na maswali, je kushamili kwa ushoga ni Human Evolution au Mwisho wa dunia?