Je naweza kutoka kupitia hawavumi lakini wamo

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
2,349
4,612
Wakuu nimekuwa nikifatilia hiki kipindi kinaitwa HAWAVUMI LAKINI WAMO kinarushwa na luninga moja maarufu kwa lengo la kujipima ili namimi siku moja niwe mtajika ktk eneo hili.

Kwa wale wenye mashaka niwatoe wasi kwani nimeshatoa kazi zangu kadhaa na kuwasikilizisha wanangu wawili watatu nnao waamini uku kijijini kwetu na kila mmoja naona anakiri uwezo upo, tena wengine wameenda mbali zaidi kunifananisha na baadhi ya nyota nguli wa muziki wanaotajika nchini.

sasa hapa wakuu nataka mnipe abc nipate uhakika kwanza kama nikiwaona hawa jamaa ntatoka au ndo fulu miyeyusho. maana nimeshajipima kwa kuwaangalia hawa naowaona kwenye icho kipindi nimejiona nawaacha kwa mbali sana yani wao na mimi ni kama hapa na kuleee.
 
Unamkumbuka WAZIRI SONYO alitamba sana na bendi ya TAMTAM ya Mwinjuma Muumuni baadaye alikwenda TOT chini ya banza stone...?

Huyo bwana alitokea hawavumi lakini wamo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimekuwa nikifatilia hiki kipindi kinaitwa HAWAVUMI LAKINI WAMO kinarushwa na luninga moja maarufu kwa lengo la kujipima ili namimi siku moja niwe mtajika ktk eneo hili.

Kwa wale wenye mashaka niwatoe wasi kwani nimeshatoa kazi zangu kadhaa na kuwasikilizisha wanangu wawili watatu nnao waamini uku kijijini kwetu na kila mmoja naona anakiri uwezo upo, tena wengine wameenda mbali zaidi kunifananisha na baadhi ya nyota nguli wa muziki wanaotajika nchini.

sasa hapa wakuu nataka mnipe abc nipate uhakika kwanza kama nikiwaona hawa jamaa ntatoka au ndo fulu miyeyusho. maana nimeshajipima kwa kuwaangalia hawa naowaona kwenye icho kipindi nimejiona nawaacha kwa mbali sana yani wao na mimi ni kama hapa na kuleee.
Kivumbi leo
 
Kula chuma ichoooooo
 
Back
Top Bottom