Mh! Labda ufanye hivi;
Endeleza mazoea ya kuchat naye, siku nyingine mwambie akuingilie kwenye akaunti yako ya facebook akusomee msg, mwambie wewe umepoteza simu.
Akikubali tu kuingia, siku nyingine mwambie aingie kwenye email yako (hakikisha iko very secured) mpe password kama kawa.
Akijaribu, atashindwa pamoja na kuwa na passwod.
Akikupa jibu kama ameshindwa, ingia wewe sasa, utajua simu aliyokuwa anatumia kuingilia.