Je NACTE watanichagua tena?

Baraka2030

New Member
Jun 6, 2016
3
0
Naombeni msaada, mimi ni mwalimu diploma holder.

Nimeapply NACTE ili nikasome degree lakini 2014 niliapply kusoma Open University nikapata na nikajisajili ila sikufanya mtihani hata mmoja.

Je NACTE watanichagua tena?
 
Chuoni... Mtihani ndo kigezo kikuu kama mwanafunz yupo au haupo

Kama ukufanya mtihani maana ake wewe haupo chuoni

Utadahiliwa we omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…