Je Mwakyembe atarudisha katiba ya Warioba?

Barriz

Member
Nov 29, 2015
21
3
Baaada ya uteuzi wa Mwakyembe kuwa waziri wa katiba. Nilijiuliza hivi mwakembe anaweza kurudisha katiba ya wananchi kweli? Hebu tusubiri tuone
 
Nani? Mwakyembe?
Atapita njia gani hata ailete katiba ya wananchi, mwuulize ushindi wake wa ubunge huko kwao kama una uhalali wowote.
 
Hatua iliyobaki ya kura za maoni ndio itafuata na si kurudi nyuma,kwani hata wakirudi nyuma bado matokeo ni yaleyale tu,itakuwa ni upotezaji wa hela tu
 
Baaada ya uteuzi wa mwakembe kuwa waziri wa katiba. Nilijiuliza hivi mwakembe anaweza kurudisha katiba ya wananchi kweli? Hebu tusubiri tuone

Acha umbulula wewe hatua iliyobaki ni kura ya maoni tu, mbowe asiwashikie akili
 
Aliye kudanganya nani niulize mimi wa kyela mwakyembe aliangukia pua

Ndio maana nakuambia umelewa viroba, hata mie ni wa kyela na ni mpiga kura wa kyela sio km wewe kura unapigia dar halafu usubirie story za akina fungo na Kyamba ndio ujue ni kweli, usishikiwe akili wewe mbulula, mywa viroba
 
Hivi viroba hulipiwa kodi?

Navyo ni chanzo cha mapato au?
 
Hivi viroba hulipiwa kodi?

Navyo ni chanzo cha mapato au?

Siju pombe aina yoyote lakini nashangaa watu wanao tumia viriba kama tusi, wangejua jinsi gani serikali inategemea kodi ya pombe wakanyamaza kimya
 
Siju pombe aina yoyote lakini nashangaa watu wanao tumia viriba kama tusi, wangejua jinsi gani serikali inategemea kodi ya pombe wakanyamaza kimya

Ni ajabu, kila siku wanywa viroba wanatukanwa, wakati huo huo viroba huchangia mapato ya taifa kutokana na kodi.

Inasikitisha...
 
Bonden acha kudanganya umma wa watanzania. Mwakyembe alishindwa uchaguzi uliopita na wanakyela hawamtaki hata kidogo.
 
Baaada ya uteuzi wa mwakembe kuwa waziri wa katiba. Nilijiuliza hivi mwakembe anaweza kurudisha katiba ya wananchi kweli? Hebu tusubiri tuone
Aliye kudanganya nani niulize mimi wa kyela mwakyembe aliangukia pua
Bonden acha kudanganya umma wa watanzania. Mwakyembe alishindwa uchaguzi uliopita na wanakyela hawamtaki hata kidogo.
CCM walishaichakachua Rasimu ya Warioba. Sasa wameleta Rasimu ya "vijisenti". Chenge wamempa uenyekiti bungeni. Unategemea kibaka aache kukwapua vilivyo vya wananchi?
Hawezi na hana uthubutu huo. Umeshasahau!, unafiki umeota mzizi na unatawala jamii yetu?
Katiba itakuwa ni katiba ya CCM, katiba ya kulinda maslahi na sera za chama, unafiki na ufisadi.

Mwakyembe akiamua kuwatumikia wananchi, watamrudishia maradhi ya ngozi.
 
..hawezi kuirudisha.

..Znz hakujakaa vizuri kule baada ya CUF kususia uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…