Je, mkojo huambatana na bomu? Ufafanuzi wa kisayansi

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
6,255
15,746
Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo.

Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa...

Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha stendi unamaliza kutoa haja halafu bomu linabana mno unajikuta unaliachia kiwizi wizi bana.

Nimetafakari sana nikaenda mpaka kwa baba paroko kupata ushauri naona anajiuma uma tu.

Hili bomu la hewa chafu linatokana na nini wakati wa kukojoa? Mbona nikipizi sibomoki?

Je, hili ni swala la kisayansi?
 
😁😁😁😁 BICHWA KOMWE - once again
 
Umeshalewa njimbo kichaa wewe!😂😂😂
NB;Chunga usijinyee kwenye sarawili choo cha stendi.
 
Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo.

Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa...

Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha stendi unamaliza kutoa haja halafu bomu linabana mno unajikuta unaliachia kiwizi wizi bana.

Nimetafakari sana nikaenda mpaka kwa baba paroko kupata ushauri naona anajiuma uma tu.

Hili bomu la hewa chafu linatokana na nini wakati wa kukojoa? Mbona nikipizi sibomoki?

Je, hili ni swala la kisayansi?
🤣🤣🤣
 
Ukikojoa umesimama ni nadra mnoo kujamba, ila ukichuchuma ni aghlabu inatokea hiyo hali, nadhani ni sababu ya misuli, unapochuchuma kuna na kuruhusu misuli ya mkojo iachie na ile mingine inaachia, na ndio maana kwenye kukata gogo kama una mkojo nao utatoka tu.
Ko misuli inakuwa imetepeta?
 
Back
Top Bottom