Je, mikoa ya Rukwa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Katavi na Iringa nayo haina mvua?

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,252
Kwa mimi ninavojua , njaa hasa inaweza kutokea endapo hii mikoa niliyotaja hapo ambayo huwa haikosi mvua kabisa ikikosa mvua. zaidi ya asilimia 80 ya chakula kinachozalishwa tanzania kinatoka katika mikoa tajwa hapo juu.

Mi nipo daslamu na sijaenda huko muda mrefu, embu mliopo huko tusaidizane,je katika mikoa hiyo ni kweli hamna mvua, na kama ni kweli basi kweli njaa itakuja tena njaa kweli.

Wenye takwimu mtuambie kama hiyo mikoa nayo haijapata mvua, kwamaana isipopata mvua hata mgao wa umeme utakuja, kwa maana mabwawa yote makubwa yanajazwa na mva za maeneo hayo, KIHANSI, KIDATU, MTERA ,460MW
 
Mkuu...! wiki iliyopita nikikuwa shambani kwangu, Katavi-Mpanda-Kakese
Nimeshapanda Mpunga wangu, Mvua zinanyesha za kutosha, na kama zikikata, huwa tuna mito inayotiririsha maji throughout the year, ndani ni water pump zangu tatu!

Na mda huu nipo nyumbani kwangu naandaa chakula cha mchana (natumia akiba ya mwaka ulipita), mwenye njaa namkaribisha home, siku njaa ikiisha, atarudi nyumbani kwake.

sinaga choyo
 
Tunashukuru Mungu, kwa kweli mikoa niliyo na taarifa nayo ni Mbeya , Iringa na Njombe mvua inanyesha. Mungu Mkubwa hali si mbaya.
 
kama ni hivo vema , inaonesha mikoa tegemezi inapata mvua. halaf hii mikoa inapata mvua za uhakika sababu ya ukaribu na msitu wa kitropic yaani msitu wa congo
 
Hivi pia kwanini wafugaji wasihamie hiyo mikoa mbona majani ni mengi na ardhi nyingi ipo idol, wao wanakomaa huko dodoma, simanjiro, manyara wakati ni kukame sana
 
:thumbdown: :thumbdown: :thumbdown: :thumbdown: :thumbdown: :thumbdown: :thumbdown:
 
Kwa taarifa yako mpunga uliopanda umezolewa na mafuriko.
 
Mungu anakuona
 
Njombe wapi kuna mvua aiseeh, hebu nijuze maana nafuatilia huku maana nina shamba lakini wenyeji wanasema mwaka huu mvua ni chache maana wengi wao wameshindwa kupanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…