johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,150
- 164,587
Ngoja tuone iwapo Askofu Gwajima atajiuzulu.
Ikumbukwe kuwa rekodi pekee ya kijasiri hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa mbunge wa Kigoma kaskazini mh Zitto Kabwe aliyekataa kuomba msamaha baada ya Spika Sitta kumtaka afanye hivyo.
Zitto Kabwe alikuwa akihojiwa kuhusu mgodi wa Buzwagi.