Je, Mbu anaweza kuambukiza UKIMWI endapo mtu akimla/meza kwa bahati mbaya?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,602
22,190
Napenda tuangazie kwa undani juu ya mbu!

Mbu ni mdudu mdogo sana anaesumbua miji mingi Africa na sehem ya Ulaya!

Pamoja na kwamba mbu anatajwa na watalam wetu kuwa hawezi kuambukiza ukimwi kutokana na vile anavyonyonya damu!

Inatajwa kwamba Mbu hususani aina ya Anofeles mwenye mdomo wenye umbo la sindano nyembamba, hutumia sindano hiyo kuchoma na kuonja damu tamu na chungu.

Inatamkwa wazi kuwa mbu anapobaini uwepo wa damu chungu huondoka pasipo kunyonya na kutokuleta madhara kwa mtu huyo, vivyo anapobaini damu tamu kunyonya damu hiyo na mwisho huacha/humwaga ute mdogo ambao huwa na vimelea vya wadudu waenezao malaria!

Miongoni mwa vyakula vinavyofanya damu isipendwe na mbu (iwe chungu) ni pamoja na mtu kupendelea kula dona, nyanya chungu, bamia, mchunga, mbilimbi n.k

Lakini pia inaelezwa vyakula vifuatavyo huchangia sana damu kuifanya iwe tam kwa mbu mfano, sembe, chips, mayai, bagga, lost n.k

Inaelezwa kwamba kuna miiili yenye damu chungu ni ngumu sana kuambukizwa malaria, watu wenye damu chungu hata wakilala kwenye misongamano huwa hawashambuliwi sana na mbu ukilinganisha na wengine ambao mbali na kuandamwa na mbu,

Swali! Kama mbu ni kweli haambukizi Ukimwi kwa sindano yake ilivyo na muundo wa kunyonya tu na si kutoa! Vipi ikitokea mtu akameza mbu aliyeng'ata mwathirika wa Ukimwi kwa bahati mbaya akiwa anapiga miayo?

Maana kutokana na ugumu wa kuthibitisha maambukizi kwa style hii ya kumeza mbu, huenda watu wengi wameathilika pasipo kujua na kuamini wameambukizwa kwa ngono kumbe ni vinginevyo.

Kupiga miayo ni kitendo ambacho hakinaga maandalizi na nirahisi sana kwa mpiga miayo kumeza chochote wakati wa kupiga miayo kutokana na ugumu wa kufunga mdomo ghafla wakati wa kupiga muayo.

Je kula mbu inaweza ambukiza ukimwi?
 
Nimecheka sana hivyo vyakula vinavyofanya damu iwe chungu au tamu...
Dah haya bana!!!
 
Ndiyo, kama ukiwameza kilo moja

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Je kula mbu inaweza ambukiza ukimwi
Umeuliza swali zuri, Hii shida ishawahi kunitokea. Nilimeza Mbu Club moja ya Usiku Mtwara. Nikawa na presha sana. Baada ya siku 2 nikaenda kwa mtaalamu wa Afya Ndanda Ndogo Shangani. Akanambia nisiwe na wasiwasi hakuna baya. ...Nilishusha punzi lakini bado Wasiwasi uliendelea kuwepo.
 
Ndo hivyo
 
Napenda tuangazie kwa undani juu ya mbu!

Mbu ni mdudu mdogo sana anaesumbua miji mingi Africa na sehem ya Ulaya!

Pamoja na kwamba mbu anatajwa na watalam wetu kuwa hawezi kuambukiza ukimwi kutokana na vile anavyonyonya damu!

Inatajwa kwamba Mbu hususani aina ya Anofeles mwenye mdomo wenye umbo la sindano nyembamba, hutumia sindano hiyo kuchoma na kuonja damu tamu na chungu.

Inatamkwa wazi kuwa mbu anapobaini uwepo wa damu chungu huondoka pasipo kunyonya na kutokuleta madhara kwa mtu huyo, vivyo anapobaini damu tamu kunyonya damu hiyo na mwisho huacha/humwaga ute mdogo ambao huwa na vimelea vya wadudu waenezao malaria!

Miongoni mwa vyakula vinavyofanya damu isipendwe na mbu (iwe chungu) ni pamoja na mtu kupendelea kula dona, nyanya chungu, bamia, mchunga, mbilimbi n.k

Lakini pia inaelezwa vyakula vifuatavyo huchangia sana damu kuifanya iwe tam kwa mbu mfano, sembe, chips, mayai, bagga, lost n.k

Inaelezwa kwamba kuna miiili yenye damu chungu ni ngumu sana kuambukizwa malaria, watu wenye damu chungu hata wakilala kwenye misongamano huwa hawashambuliwi sana na mbu ukilinganisha na wengine ambao mbali na kuandamwa na mbu,

Swali! Kama mbu ni kweli haambukizi Ukimwi kwa sindano yake ilivyo na muundo wa kunyonya tu na si kutoa! Vipi ikitokea mtu akameza mbu aliyeng'ata mwathirika wa Ukimwi kwa bahati mbaya akiwa anapiga miayo?

Maana kutokana na ugumu wa kuthibitisha maambukizi kwa style hii ya kumeza mbu, huenda watu wengi wameathilika pasipo kujua na kuamini wameambukizwa kwa ngono kumbe ni vinginevyo.

Kupiga miayo ni kitendo ambacho hakinaga maandalizi na nirahisi sana kwa mpiga miayo kumeza chochote wakati wa kupiga miayo kutokana na ugumu wa kufunga mdomo ghafla wakati wa kupiga muayo.

Je kula mbu inaweza ambukiza ukimwi?
Njia za kuambukiza ukimwi ni zile ambazo WHO wamefanyia research na zinajulikana,,mbu aezi ambukiza ukimwi,,,coz han white blood cell ambao ndo host ya Hiv,afu ukimwi unaambukizwa kwa blood contamination,,kw iyo ukimeza mbu ni cthani km Kuna madala
 
Ooh tunashukuru kwa maelezo mazuri
 
Achilia mbali mbu hata ukinywa dam of victim retro virus are protein in nature ikipita kwwnye gastric kuna strong metabolic reagent hawezi kutoboa
 
Back
Top Bottom