Je, majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini yameshidwa na M23?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
7,818
10,842
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?

Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.

Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge

Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi ya wanajeshi wetu, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo wa aina gani. Hakuna hotuba yeyote ya kamanda mkuu ambaye ni Raisi.
 
CONGO ni shenzi sana
Ka Rwanda Kanaingia mala 90 ya ukubwa wa Congo.

Juzi nilienda Harusini DJ aliweka nyimbo za Congo nilimfuata na kumwambia atoe huo upumbavu haraka sana.

Wale Jamaa ni washenzi sana.
NATAMANI WOTE WAILIOPO TANZANIA WAONDOKE.
 
CONGO ni shenzi sana
Ka Rwanda Kanaingia mala 90 ya ukubwa wa Congo.

Juzi nilienda Harusini DJ aliweka nyimbo za Congo nilimfuata na kumwambia atoe huo upumbavu haraka sana.

Wale Jamaa ni washenzi sana.
NATAMANI WOTE WAILIOPO TANZANIA WAONDOKE.
Jeshi la Tanzania limeenda kufanya nini kama ni kupigana tupigane kweli sio kwenda nusu nusu. Nani ataheshimu tena jeshi letu??
 
Sasa kama mnakuwa na jeshi ambalo dogo janja tu wa miaka 24 anajipa cheo cha luteni unategemea mkashinde hawa watusi wa kikongomani kiongozi?

SA wao nasikia walipeleka madogo walio graduate jeshi siku si nyingi kwahiyo katika uwanja wa kivita bado wanahitaji muda kukupa matokeo
 
Hakuna mapambano yoyote, fardc wanaachia eneo,m23 wanachukua
Sasa ulitaka wafanyaje na m23 they means bussin
Jeshi la Tanzania limeenda kufanya nini kama ni kupigana tupigane kweli sio kwenda nusu nusu. Nani ataheshimu tena jeshi letu??
Sio rahisi kama unavyodhani ni juz tu hapa ndugu zetu wawili wamerudi wakiwa kweny makabati na wengine kujeruhiwa, hao wahuni vita wameiishi na wanaiweza sio kuhadisiwa
 
CONGO ni shenzi sana
Ka Rwanda Kanaingia mala 90 ya ukubwa wa Congo.

Juzi nilienda Harusini DJ aliweka nyimbo za Congo nilimfuata na kumwambia atoe huo upumbavu haraka sana.

Wale Jamaa ni washenzi sana.
NATAMANI WOTE WAILIOPO TANZANIA WAONDOKE.
Man hapa umesema kweli niliwahi kufanya nao kazi kwa miaka kadhaa,niseme tu ukweli wakongomani ni wangese sana.Watu wanasema bongo tu machawa lakini wakongo walinishinda tabia yani ni makondoo kwa mtu superior(hayawezi kufanya reasoning kila kitu ni ndio mzee)
 
KWANI WANAJESHI WA TZ NA SA WAMEENDA KWA AJILI YA KUPIGANA VITA AU KULINDA AMANI ?, KAMA NI KULINDA AMANI BASI WAMEFANIKIWA KWA 99% SABABU TUNAONA WAASI WAPO PEACE SANA NA RAIA 🙏 ILA KAMA NI KUPIGANA VITA DHIDI YA WAASI BASI WAMEFELI 🖕🏼
 
Vita inambinu nyingi za kimapigano. FARDC inaweza kuwaacha M23 kusonga mbele huku wakichukua/kuteka maeneo pasipo mapigano yoyote. Dhamira inaweza ikawa kumvuta adui katika eneo la kimkakati(killing zone).

Atakapo wasili eneo husika atakutana na nguvu kamili ya FARDC, huku wakiwa tayari wamezingirwa pande zoto hakuna kutoka wala kuingia. Hapo ndo watatambua maana kamili ya msemo pendwa wa wajaruo kamongo hushinda nyama ila kwa maharage hutoka droo”.
 
Back
Top Bottom