Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 555
- 1,424
Leo nimekuja na swali langu kwa wana JF wale wa Earth is around, ninataka mnipe jibu la swali langu JE, DUNIA NI DUARA?
Kama dunia duara kitendo hiki kinaitwaje au kinaeababishwa na nini?
Je, dunia inazunguluka kama inazunguluka inakuwaje mpaka kikatokea kitendo hiki?
Je, shuleni uliwai kufundishwa juu ya kitendo hiki?
Mwisho kabisa kama Dunia sio duara unazani ni kwa sababu gani ukweli huu wa dunia kuwa sio duara unafichwa sana unazani una manufaa gani kwa wanaouficha au wanauficha kwa sababu gani..!?
Aya JF (HIGH IQ) tupieni madini.