Jamani, nimeona hapahapa niulize swali langu, kuliko niongeze idadi ya nyuzi. Msaada tafadhali.
Nataka nikasome diploma ya phamarcy chuo cha serikali. Masomo ya Phys, Biol, Chem, na Math nina C, B, B, B. Utata upo kwenye English nilipata F kisha sikurisiti. (kwani yote hayo nilirisiti baada ya kuzungu awali).
Sasa je kwa kukosa kigezo katika somo la English nitaweza kukubaliwa katika kozi ya pharmacy?