Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Tupo pamoja!Wadau naombeni ushauri kwa hili jambo mana mara nyingi mimi nimeonekana kuwa ni mwanaume bahiri kuwahi kutokea, kila nikipata mpenzi ananikimbia eti kisa simhudumii lakini kwa upande wangu nilishajiwekea malengo kwamba nitatoa huduma wakati nishakua mme wake kamili.
Hii nafanya kwa kuzingatia kwamba mwanamke yeyote ambaye hajaolewa na anakaa kwao hua ni wajibu wa wazazi wake kumhudumia kila kitu.
Mana kwa kawaida kama wewe mzazi utaona mwanao wa kike anaanza kumiliki vitu vya gharama kama simu, nguo za bei, saa, nk niwajibu wako kumwuliza mwanao kapata wapi na ukizingatia hana kazi.
Hivyo warembo mjalibu kijitafakali si kila mwanaume asiye kuhudumia hakupendi ila wakati mwingine tunafanya hivo ili tujue kwenu kuna malezi gani, na pia ili tujue tunapendwa kweli au mnapenda vile tunavyo wapa.
Uzi tayari, wakununa anune ila mi ndo nilivyo.
kama kawa ila tunaenjoy woteTusianzie mbali vipi mambo anakupa?
acha izo bana fanya pale unapowezakama kawa ila tunaenjoy wote
Kwahapo inabid uhudumie kiasi chake, kwan yy atachoka na kukuacha kinanda, kama hutaki kuhudumia usimle tafadhal baki na hamu zako mpaka siku ya kuoana. Ila kwa dunia ya sasa mhkama kawa ila tunaenjoy wote
Nowadays no love,but women have their targets!!Kwahapo inabid uhudumie kiasi chake, kwan yy atachoka na kukuacha kinanda, kama hutaki kuhudumia usimle tafadhal baki na hamu zako mpaka siku ya kuoana. Ila kwa dunia ya sasa mh
Kabisa mkuuNowadays no love,but women have their targets!!
tuko pamojaİli iweje kwanza kama ni uwekezaj si bora nipige gambe mpk bas kuliko kuja kuua bila kutaka
Dah! Yaani mwanamke wewe,. Huo mgongo huo nmejikuta Niko hoi ghafla. Dah!Hauko sahihi sana mkuu..ngoja nikusaidie..hata ukioa we usimhudumie mkeo..kwani kabls ya hapo nani alikua anamhudumia?? Ww tafuta hela hudumia wanao!
ohooo...!!!Dah! Yaani mwanamke wewe,. Huo mgongo huo nmejikuta Niko hoi ghafla. Dah!
Mwanamke ambaye ww unasiltahili kumhudumia kwa nguvu na jitihada zote ni mama yako na wanao..Wadau naombeni ushauri kwa hili jambo mana mara nyingi mimi nimeonekana kuwa ni mwanaume bahiri kuwahi kutokea, kila nikipata mpenzi ananikimbia eti kisa simhudumii lakini kwa upande wangu nilishajiwekea malengo kwamba nitatoa huduma wakati nishakua mme wake kamili.
Hii nafanya kwa kuzingatia kwamba mwanamke yeyote ambaye hajaolewa na anakaa kwao hua ni wajibu wa wazazi wake kumhudumia kila kitu.
Mana kwa kawaida kama wewe mzazi utaona mwanao wa kike anaanza kumiliki vitu vya gharama kama simu, nguo za bei, saa, nk niwajibu wako kumwuliza mwanao kapata wapi na ukizingatia hana kazi.
Hivyo warembo mjalibu kijitafakali si kila mwanaume asiye kuhudumia hakupendi ila wakati mwingine tunafanya hivo ili tujue kwenu kuna malezi gani, na pia ili tujue tunapendwa kweli au mnapenda vile tunavyo wapa.
Uzi tayari, wakununa anune ila mi ndo nilivyo.
Hauko sahihi sana mkuu..ngoja nikusaidie..hata ukioa we usimhudumie mkeo..kwani kabls ya hapo nani alikua anamhudumia?? Ww tafuta hela hudumia wanao!
Hauko sahihi sana mkuu..ngoja nikusaidie..hata ukioa we usimhudumie mkeo..kwani kabls ya hapo nani alikua anamhudumia?? Ww tafuta hela hudumia wanao!