Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 634
- 822
Wakuu nadhani mko poa
Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano yote niliyopitia).
Waliponiacha, niliheshimu maamuzi yao, nilitulia na kuwatakia kila la kheri. Kisha sikuwasiliana nao, lakini kwa nia kuendelea kuishi maisha yangu bila wao kuwa sehemu ya maisha yangu ya baadaye. Kwa sababu nilionyesha kutokujali, kujitenga na kuwa tayari kuendelea.
Tatizo kuna ex wangu mmoja natamani kurudisha mahusiano yangu kwake. Najiskia kumpenda sana, najutia kumuacha, sasaivi amekua mzuri sana🤭 na tayari tunawasiliana. Tatizo hataki mahusiano na mimi tena. Wewe ulitumia mbinu gani kumrudisha ex wako? Uligharamika kiasi gani? Mahusiano yalidumu?
======
Soma pia > Namna ya kumrudisha X wako bila ya kuumiza kichwa wala kuonekana king’ang’anizi