Je kuna huduma ya kujua makato ya TRA online?

Apr 11, 2017
46
16
Habari zenu ndugu zangu ,naomba kujulishwa ,nilikua nataka kuagiza gari kutoka japan lakini kwanza kabla ya yote nataka kujua ushuru wake ni kiasi gani ? Je wanahuduma hiyo katika website yao naweza kuangalia kabla ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…