Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

Damaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
3,184
5,101
Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika.
1720694856774.png

Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara mara kwa mara? maana baadhi ya wataalamu wa ngozi nimepata kuwasikia kuwa kuoga mara kwa mara kuna madhara, na baadhi wanashauri tuoge mara kwa mara kuondoa seli zilizokufa.
 
Body depreciation
 
Maji ya moto usiyapendelee sana,
yanapunguza nguvu za 'kupanda mlima' kwa wanaume.
Yakiwa ya kawaida anaekukataza jua mchafu huyo oga kama Bata hakuna madhara kabisa.

Nawasilisha
 
Bata is typing..................................
 
Back
Top Bottom