Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa?
Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo?
Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au kutokufahamu. Je wewe unafikiri bila shaka unafanya hivyo kwa manufaa ya taifa? Kama sio hivyo jiulize vizuri mfaidi wako hasa ni nani?’
Umasikini mkubwa sana kwenye nchi au hata kibinafsi unatokana na kukosa maarifa. Kama wewe unashabikia kitu bila kujua undani wake ni kukosa maarifa!
Je, vijana wetu wa usalama wamekosa maarifa au sio wazalendo?