Kama nakumbuka vizuri ile case waliachiwa kwenye sheria kuna msemo unaotumika kuwa "huwezi fungua case kwa watu wale wale na kwenye case ile ile ambayo imeshatolewa maamuzi"Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake.
Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi?