je jambo hili litamdhuru mtoto?

hamisi nondo

Senior Member
Aug 21, 2011
192
172
Wanajamv habarin,,,mwenzenu soon nataraji kuitwa baba sasa nimekuwa na tabia kila mara nashika shika tumbo la wife.

Kila mara nataka kuangalia mtoto amekaaje somtimes inatokea nakagusa mpaka katoto tumbo na nikimgusa tu mtoto hapo hapo anaanza kucheza,,alafu anaama upande.

Ikitoea umemgusa tena anaendelea kucheza alafu anahama tena,,je hii kumgusagusa kila mara haiwez kuleta shida maana imekuwa ugonjwa wang
 
Unaweza gusa taratiibu isiwe na madhara, Ila ww inaonyesha unalibinya ilo tumbo ndio maana mtt anahangaika tumbn maskini...
 
Gusa tu,mtoto wako na mke wako. Vyote vyako so no hali yako kugusa utakavyo
 
sa unagusa yanini si atakuja tu mtoto utamuona ,unajua anapocheza unampa mama maumivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…