NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,258
- 1,515
Habari wana bord.
Kichwa cha habari chahusika.
.Nina binti yangu ambaye baada ya kufanya mtihani wa kidato cha pili kunachangamoto ilimtokea hakuweza kuwa masomo licha ya matokeo yake vizuri kwa kujiunga kidato cha 3.
Baada ya kurudi katika hali yake ya kawaida, sasa anahitaji arudi shule.
.Amekaa miaka 7 nje ya mfumo wa shule toka mwaka 2017.
.
Msaada ninaouhitaji ni kutaka kujua kama inawekana kutumia matokeao ya kidato cha 2 mwaka 2017 kuendelea na masomo kidato cha tatu?
.
Natanguliza shukrani!