Je, ile ripoti ya uchunguzi ya ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima imekwishatolewa au ndio basi tena tuendelee na ujenzi?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,483
2,386
Wadau kama Mtakumbuka Mara baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa alitangaza kuwa anataka atumiwe orodha ya Petrol stations zote nchi nzima.

MAKAMISHA wasaidizi wa Ardhi Mikoa yote zikionyesha jinsi zilivyopatikana kwa maana ya Matumizi ktk Michoro ya Mipango Miji na pia kama zilibadilishwa Matumizi.

Je, Mamlaka husika ikiwa pamoja na Wadau kushirikishwa na pia kama hazipo au zipo kwenye Makazi ya Watu na Umbali uliopo kati ya kituo hadi kituo cha Petrol station.

Tangazo la Waziri lilisema Taarifa ya suala hilo itatolewa January 2024.Kutokana na Leo kuwa February 2024 tumeona tumkumbushe WAZIRI.
 
Back
Top Bottom