Nimepanga kwenye nyumba moja hapa Mbezi Makonde, nadaiwa kodi ya mwezi mmoja. Nimemwambia baba mwenye nyumba anivumilie kidogo, kaitikia ndio ajabu kila akiniona ananiimbia taarabu.
Huko kusikiliza taarabu ameanza baada ya wewe kumpiga kalenda kuhusu kodi yake au yeye mwenyewe ni mpenzi wa taarabu tangu zamani na wewe ukaamua kuunganisha matukio....???