mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Leo unashangaa tu
na kucheka kama hivi hahahahahahaha, tehe tehe teheLeo unashangaa tu
Aiseena kucheka kama hivi hahahahahahaha, tehe tehe tehe
Kumbe ni ruksa walinzi kuwapiga raia ee?Polisi ni walinzi wa RAIA na Mali zao
Ohooo my God. Mkuu hii ni wapi na ni lini? Kuna neno moja tu naweza kuwaita hao ''polisi'': WAUAJINi pigo la nafsi na maumivu ya roho pale mtu asiyena silaha (unarmed) anafanyiwa tukio kama hili...
Raia tunahamasishwa kila siku kutokuchukua hatua mkononi ila kwa polisi kumkung'uta virungu raia asiye na silaha akimbilie wapi?
Wewe ndo wauliza...Kumbe ni ruksa walinzi kuwapiga raia ee?
Hapa walikuwa wanaua. sio kupiga.Kumbe ni ruksa walinzi kuwapiga raia ee?