JE HIZI DALILI NI ZA 2016 AU 2027

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
Kujua huu mwaka ulikuwa mgumu, hakuna hata mvua ya kusindikiza krismas.

Mimi hapa mkoani nilipo (Jina kampuni) hakuna tone hata la mvua. Twambieni huko maeneo ulipo je, mvua ya krismas umeiona?
 
Kujua huu mwaka ulikuwa mgumu, hakuna hata mvua ya kusindikiza krismas.

Mimi hapa mkoani nilipo (Jina kampuni) hakuna tone hata la mvua. Twambieni huko maeneo ulipo je, mvua ya krismas umeiona?
Moderator please edit hapo kwenye title isomeke 2017
 
mvua ingenyesha Christmas, mngesema imewaharibia siku.
Haijanyesha, bado mnalalamika
.
Binadamu buaaana..
 
hapa nilipo ni miezi miwili kabla ya tarh 25 mvua haijanyesha. mwakani serikali ijiandae kufumguliia mipaka mazao ya nafaka n.k yaingie nchini manake sipati picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…