Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Bado unatumia startime???
matangazoNadhani wako sahihi kukata haya matangazo..... ni biashara gani wanakuwa wakifanya ambayo wao wanalipa kodi tena hii ya mwendokasi wakati watu hawaongezi salio la king'amuzi kupata channels nyingine kwa kuwa channel za kibongo hati ziliruhusiwa kuonyeshwa bure.
Katu hata mimi nisingefanya biashara ya aina hii ya kuto ahuduma huku nikilipa kodi mwendokasi
azam kuna nn cha ziada zaidi ya mpira mkuuHamia azam mkuu chanel za kutosha na hata zuku pia
Mimi natumiani azam nimeishiwa kifurushi tangu jana, yaani Tbc1 majanga ni chereko kila dakika.
NshomileNadhani wako sahihi kukata haya matangazo..... ni biashara gani wanakuwa wakifanya ambayo wao wanalipa kodi tena hii ya mwendokasi wakati watu hawaongezi salio la king'amuzi kupata channels nyingine kwa kuwa channel za kibongo hati ziliruhusiwa kuonyeshwa bure.
Nunueni DSTV mnalipia huku mnapata vitu vya high Quality
Katu hata mimi nisingefanya biashara ya aina hii ya kuto ahuduma huku nikilipa kodi mwendokasi
Nshomile
Ndio nintentenaOgumileh??
Tbc imekufa kabisa, jamaa mmoja aliwahi kusema hata kama bwana yesu ikitokea ana kipindi maalum tbc yeye kamwe hawezi kuangalia.Kuangalia TBCcm heri niangalie channel za wanayama DSTV au Magic Bongo au hata kuanagalia kigodoro katika simu, mkurugenzi wake Bwana Lyoba ni kama anafanya kazi ya siri kuiuha kabisa hii TV
Mwagila mahyoNdio nintentena
Galiyo ngayoka waituMwagila mahyo
Channel za maana basi hauwezi kuwa bored.azam kuna nn cha ziada zaidi ya mpira mkuu
kuna chanel nyingi tofauti na startimes ambako unasema kuna chanel tv1 na tv E pekeeazam kuna nn cha ziada zaidi ya mpira mkuu