Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,170
- 10,669
Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha upinzani wa wazi wazi kwa alichokipost Bw. Gerson Msigwa!
Kinachofikirisha ni kuwa maoni mengi yanamjibu na kumuuliza maswali magumu ambayo hawezi kujibu hadharani!
Je, hii ni ishara kuwa WaTanzania (ukiacha machawa na wasanii) kwa sasa huwezi kuwapelekesha utakavyo?
Je, serikali sikivu inasikiliza na kuzingatia hayo maoni ya wananchi?
Je, itafanikiwa kudhibiti hilo wimbi la wenye mawazo mbadala?