Je, hii hama hama ya huku na kule ya Mtangazaji Maulid Kitenge ina Afya na Tija Kitasnia?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,018
16,801
EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?

Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.
 
Yule ni mtangazaji mkubwa na maarufu anashindwa nini kuanzisha redio yake? Au aende kwenye media kubwa za kimataifa au hata za ndani akatulie huko. Kama vipi arudi redio one au amfuate mwenzake katanga uhai fm. Mwisho wa siku atazeekea kwenye kutangatanga redioni kila mara
 
Kwani kuna shida? Au katiba inasemaje kuhusu ilo? Tuanzie hapo kwanza
 
EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?

Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.
Haina tija, maana hivi vituo vinatakiwa vizalishe vijana wapya kwenye hii tasnia, haiwezekani kuendelea kununuanunua hawa wakongwe bila kuwa na success plan nzuri kwa badae!wanatakiwa wagroom vijana wengine wenye vipaji etc!Swali sasa ni je hawa wakongwe wanawapa nafasi vijana wachanga ya kukua?maana hawa malegend ndo wanatakiwa kuwa walimu wa watangazaji wachanga! i remember RTD those days
 
EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?

Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.
Kiraka
 
Yule ni mtangazaji mkubwa na maarufu anashindwa nini kuanzisha redio yake? Au aende kwenye media kubwa za kimataifa au hata za ndani akatulie huko. Kama vipi arudi redio one au amfuate mwenzake katanga uhai fm. Mwisho wa siku atazeekea kwenye kutangatanga redioni kila mara
Ni Genius kama Wewe tu hapa duniani ndiyo wanaandika hivi baada ya Kunielewa. Heko sana.
 
Yule ni mtangazaji mkubwa na maarufu anashindwa nini kuanzisha redio yake? Au aende kwenye media kubwa za kimataifa au hata za ndani akatulie huko. Kama vipi arudi redio one au amfuate mwenzake katanga uhai fm. Mwisho wa siku atazeekea kwenye kutangatanga redioni kila mara
He is looking for green pastures....Hana pesa za kufungulia station yake
 
EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?

Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.
Nyie mnahangaika kumuwaza ila yeye hana habari anapiga pesa zake wanazompandia dau bila kutegemea NGO's za mareekani
 
Back
Top Bottom