CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,482
- 4,901
By Summary,
Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?
Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA
Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?
Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.
Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.
Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?
Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.
Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?
Muwe na Dominica njema.
cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable