Data base inasemaje, hizo club mbili zina data base za wanachama yaani zimehifadhi kwenye mfumo wa kidigitali idadi ya mashabiki waoKwa hio eti Yanga ina mashabiki milioni 25 kuzidi Simba? Sijui wakuu ila sidhani aisee
Inawezekana. Kwa Yanga wamehesabia hadi marehem. Ila Simba wamehasabiwa walikuwa hai tu.Kwa hio eti Yanga ina mashabiki milioni 25 kuzidi Simba? Sijui wakuu ila sidhani aisee
Mama Maria alimzaa Nyerere,lakini Raia alikua Nyerere peke yake, wala sio mama yake.Simba yenyewe ni Matokeo ya Yanga kwaiyo ata ao mashabiki wa Simba ni Yanga.
Kwahiyo waTanzania milioni 35+10=45 ni mashabiki wa mpira. Milioni 61-45 = 16 ndio pekee sio mashabiki wa Simba na Yanga.Kwa hio eti Yanga ina mashabiki milioni 25 kuzidi Simba? Sijui wakuu ila sidhani aisee
Ati nini!!!!????Ni kweli mkuu. Pia wasichojua wengi Yanga ilizidiwa kura mbili tu na klabu ya Real Madrid katika mchakato wa FIFA wa kutafuta klabu bora ya karne.
Labdah kufwatiliwa mtandaoni,sio mashabikiKwa hio eti Yanga ina mashabiki milioni 25 kuzidi Simba? Sijui wakuu ila sidhani aisee