Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 320
- 717
Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.
TutashukuruKama kwa matumizi ya kawaida bado hiyo kasi sio mbaya sana, ila mwisho wa mwezi huu nitaleta mrejesho juu ya uzoefu nilioupata kuhusu hizo laini zao maalum na kifurushi hicho cha unlimited.
Maana nimejiunga tarehe 28/07/2024, hivyo bado siwezi kusema nimeijua vyema huduma hii ipo vipi. Ila kwa watakaotaka kujua hasara na faida za huduma hii, basi nitakuwepo hapa tarehe 29/08/2024, Mungu akipenda, nikitoa ufafanuzi wa mwanzo hadi mwisho kuhusu kifurushi hicho
speed nzuri ila voda no wanayo naitaka tena ukiwa na 5g ni unyamaSiwezi kukushauri ujiunge nacho ila utapima mwenye . . Zikiisha hizo GB 25, unapata kasi ya ndogo, unaweza kujionea mwenye hapo chini View attachment 3062689
Habari mkuu nimejaribu kufata hizo steps lakini inagoma ,hasa kwenye kipengele cha kuingiza numberKwanini usijiunge na SME internet kupitia Airtel unapata GB 22 kwa mwezi kwa TSh. 20,000/=. *149*91# halafu 2>, then 4 au kifurushi kingine unachopenda hapo.
Habari mkuu nimejaribu kufata hizo steps lakini inagoma ,hasa kwenye kipengele cha kuingiza number
Tunasubiri mkuuKama kwa matumizi ya kawaida bado hiyo kasi sio mbaya sana, ila mwisho wa mwezi huu nitaleta mrejesho juu ya uzoefu nilioupata kuhusu hizo laini zao maalum na kifurushi hicho cha unlimited.
Maana nimejiunga tarehe 28/07/2024, hivyo bado siwezi kusema nimeijua vyema huduma hii ipo vipi. Ila kwa watakaotaka kujua hasara na faida za huduma hii, basi nitakuwepo hapa tarehe 29/08/2024, Mungu akipenda, nikitoa ufafanuzi wa mwanzo hadi mwisho kuhusu kifurushi hicho
Nilikutana na pingamizi linalonitaka nioneshe ODU niliyonunulia bando la internet!Kwanini usijiunge na SME internet kupitia Airtel unapata GB 22 kwa mwezi kwa TSh. 20,000/=. *149*91# halafu 2>, then 4 au kifurushi kingine unachopenda hapo.
Bora useme ukweli ndugu yanau huyu jamaa ni muongoMie natumia halotel ya elf 50 sijawahi kujuta nakuwa youtube kwenye tv vizuri tu
Mfanyakazi wa voda mkoa upi?Internet ni voda tu, otherwise kama matumizi yako ni simu tu!
Miezi miwili iliyopita nilijichanganya nikalipia Airtel, tabu niliyopata nimejisalimisha voda tena bila kupenda!
Tupe screenshot ya hiyo speed ya 50mbps ya halotelKimsingi mitandao yote ya simu inategemea na eneo ulilopo....ni mara chache kukuta yote inafanya vizuri. Mfano halotel hiyo nilipo napata 50mbps na hizo gb zao ishirini kadhaa nilizopita siku ya kwanza tu....nilikuwa airtel nalipa 110k na bado ilikuwa inaniangusha kila ikifika mida ya saa moja hadi tano usiku.....lakini halotel wapo poa all time....ukisema voda huku hata kuipata 3G ushukuru....! So inategemea upo wapi!
Tunasubr mrejesho wa hiko kifurush cha 50k Halotel (kifahari) kwenye lain Za M2M wanazo sema ni unlimited feedback yako ni muhim sana je baada ya hzo 24GB speed inapungua au haipungui ..? na kama inapungua inafka ngap yan Mbps ngapKama kwa matumizi ya kawaida bado hiyo kasi sio mbaya sana, ila mwisho wa mwezi huu nitaleta mrejesho juu ya uzoefu nilioupata kuhusu hizo laini zao maalum na kifurushi hicho cha unlimited.
Maana nimejiunga tarehe 28/07/2024, hivyo bado siwezi kusema nimeijua vyema huduma hii ipo vipi. Ila kwa watakaotaka kujua hasara na faida za huduma hii, basi nitakuwepo hapa tarehe 29/08/2024, Mungu akipenda, nikitoa ufafanuzi wa mwanzo hadi mwisho kuhusu kifurushi hicho
Leo ndo leoKama kwa matumizi ya kawaida bado hiyo kasi sio mbaya sana, ila mwisho wa mwezi huu nitaleta mrejesho juu ya uzoefu nilioupata kuhusu hizo laini zao maalum na kifurushi hicho cha unlimited.
Maana nimejiunga tarehe 28/07/2024, hivyo bado siwezi kusema nimeijua vyema huduma hii ipo vipi. Ila kwa watakaotaka kujua hasara na faida za huduma hii, basi nitakuwepo hapa tarehe 29/08/2024, Mungu akipenda, nikitoa ufafanuzi wa mwanzo hadi mwisho kuhusu kifurushi hicho
SORRY, kutokana na majukumu nimepitiwa ila leo natoa mrejeshoLeo ndo leo