Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Hello wana Jf,
Kuna jambo lina tatiza kidogo.. naombeni ushauri ili ni msaidie huyu mama ambaye ni Jirani yetu (Family friend wa muda mrefu) Ila anachangamoto fulani wadau wa Sheria mnaweza tusaidia hapa.
Ni hiivi kuna, Mwanamke wa makamu ya miaka 64 yupo na mume wake mwenye 77 kwa sasa.
Hawa walifunga ndoa takatifu mwaka 2000 Katika Roman Chatholic wakiwa watu wazima mwanamke alikuwa na umri wa miaka 42 akiwa tayari na watoto wake (4) wakubwa wana jitegemea aliye wapata na mwanaume mweninge ila hakuwa amefunga naye ndoa, na huyu mume wake mpya aliyekutana naye uzeeni alikuwa na umri wa miaka 55, na pia huyu mwanaume alikuwa na watoto wake(5) wakubwa wenye kujitegemea na wengine walisha olewa ila mke wake alikuwa amefariki mika5 nyuma.
Baada ya Kufunga ndoa yao, Hawakuzaa kutokana na umri wao. mume huyu alikuwa nafanya kazi serikalini na mwanamke alikuwa mfanya biashara mjasiriamali, miaka 3 baadaye waka nunua kiwaja wakajenga nyumba yao maana mzee alikuwa anakaribia kustaafu. hivyo miaka 2 kabla ya kustaafy ili waachie nyumba za serikali. Huyu mama alianza kuona hata weza kwenda kukaa kwenye nyumba aliyejenga mzee na marehemu mke wake maana kule kuna watoto wa mzee, hivyo kupitia biashara zake na mumewe kupita mshahara wake wakashirikiana wakajenga kwako mda wakustafu ulipo fika waka hamia kwao.
Wakati wanaishi kwao, mtoto mmoja wa huyu baba, akawa nimtu watamaa za mali akanza mumsumbua baba yake akitaka kujua hatima yao kwenye nyumba mpya anayo ishi mzee wake na mkewe mpya.. mzee aka wambia kuwa huku haku wahusu, malizi nilizo chuma na mama yenu mnazo na mm na mke wangu hatuzitumii. Yule kijana hakuridhika akaanza kwenda kwa waganga kutaka kumdhuru yule mama afe, bahati mbaya au nzuri yule mama nimtu wamaombi sana, basi katika harakati zake yule kijana akaja gundulika michezo yake ya waganga, baba yake akachukia sana, aliitisha kikao na watoto wake na wajomb zao aka wambia ukweli alivyo chukizwa na tabia ya mwanae na mtoto huyu wa kiume aka kiri kweli alichukuwa nguo ya huyo mke wa baba yake na kupeleka kwa waganga tanga lengo ni kumdhuru nakumuuwa lakin aka kiri na kuomba radhi yule mama aka msamehe. pamoja na kumsamege miaka ikenda ila yule mtoto aka bado ana mambo ya chini kwa chini ya hila,
Mzee wao kuona hivyo aka mwita mjomba wao aka mtamkia na kuwa awambie wanae kuwa kule anako ishi ni kwa kwake na mkewe na kwamba hata akifa yule mawana mke ataendelea kukaa pale mpaka atakapo kuwa na yeye hayupo duniani basi, ile nyumba ndio itakuwa ya watoto wake.
Baada ya kauli hii angalau yule mtoto akatulia ila sasa hivi karibuni ameanza tena kumwanadama sana mke wa baba yake ila sasa ni kwa siri ana mwendea kwa waganga na kuchimbia vitu kwenye ile ardhi wanayo ishi na hivi sasa huyu Mwanamke anapata magonjwa ya ajabu yasiyotibika hospitali ila akiombewa kwenye maombi anapona, biasha ra zake zinakufa.. Sasa juzi alienda kwa mtumishi mmoja , kabla haja mweleza mtumishi huyo kitu.. yule mtumishi alimwambia anaona kuna kijana amechimbia dawa za kiganga katika aridhi yake na huyo kijana ana connection na damu ya mume wake, lengo ni kumuangamiza.. pia aka mwambia alisha wahi kupeleka nguo kwa mganga naile nguo bado inatumika kama point of contact . na hata hivi karibun huyu kijana anaonekana kwenye ulimwengu waroho kuwa alikuwa kwa mganga kwa ajili ya kuuwa biashara za huyu mama. Baada ya maelezo ya Mtumishi huyu mama akajua kabisa ni yule mtoto wa mzee maana swala nguo yake kupelekwa kwa mganga alisha lijua miaka mi4 nyuma na muhusika alikiri mweyewe .
Sasa kwanini nimeandika story nzima hapa. nikwamba, huyu mama amenza kuhofia mstakabali wake kama kama mume wake hata kuwepo au kama wata mwondoa yeye mapema je haki yake walio jenga n a mumewe itakuwaje?
Maana alipo muuliza mumewe kuhusu hatima yake mumewe alimpa majibu yale aliyo mpa miaka 10 nyuma kwamba kama mzee akiwa hayupo basi yeye mama ata kaa pale mpaka nayeye akiwa hayupo basi nyumb itabaki kwa watoto wa mzee, lakin Huyu mama anajiuliza ina mama yeye haki yake na jasho lake la mahangaiko ya ujenzi mpaka kuhamia na kukaa kwenye ndoa kwa miaka 22 mpaka sasa, iweje Mzee awambie ukoo wake kuwa huyu mama akiwa hayupo basi watoto wake watachukua nyumba ili hali kuna jasho la huyu mama na huyu mama pia anasema jasho lake litaishia kwa watoto wa mzee pekee kivip?
Maswali yake ni haya:
Je, sheria inasemaje kwenye haki ya namna hii?
Je, ikitokea mzee akaondoka kabla yake alafu akawa ameacha usia kama huo kwa maandishi je sheria inaweza kuangalia upya woasia huo na kutenda haki kisheria au ndio basi anakuwa kapoteza haki zake?
Je, ikiwa huyu mama ataondoka kabla ya mumewe ndio basi watoto wa huyu mama hawa wezi kisheria kudai hakiza mama yao?
Je, kwa sasa wakiwa wote wao hai nini kifanyike kisheria ili kuwe na haki pande zote ili hata wakiwa hawapo angalao Familia zibaki na amani na pande zote zinufaike sawa maana huyu mama anataka amani na haki kwa wote jasho lake lisipotee bure.
Asanteni. karibuni kwa ushauri huyu mama ni muhitaji sana wa muongozo wa kisheria.. maana amekata tamaa kabisa.