Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,149
- 1,195
Mbona kama unateseka wewe utauwa H kunani si uende tu ukasome upate shahada, Hujiulizi mbona shule ya msingi kuna walimu kibao wana shahada.Wakuu karibu tujadili.
Sahivi Kuna sera mpya ya Elimu, na imepitishwa na serikali, na katika sera hiyo, Kuna mabadiliko kwenye eneo la walimu.
Katika sera mpya Ili ufundishe Sekondari ni lazima uwe na Degree/ Shahada.
Na Ili ufundishe shule ya msingi lazima upitie kidato Cha sita afu usome diploma.
Sahivi kuna vijana Wana diploma za ualimu wa secondary.
Je hao wataendelea kuajiriwa Sekondari au watapelekwa shule za msingi?
Na je ni halali mwalimu wa Diploma kufundisha Sekondari?
Karibu
Povu?? waraka unaanza kutumika this year.Mbona kama unateseka wewe utauwa H kunani si uende tu ukasome upate shahada, Hujiulizi mbona shule ya msingi kuna walimu kibao wana shahada.
hivi hujawahi ujiuliza walimu wa shule za msingi waliopita kidato cha sita wakutosha nchi nzima watatoka wapi wakati hawapo(wengi ni cheti)
sasa nani ataefundisha huko wakiodolewa na bado hawawezi kuondolewa wakati mkataba wao ni permanent and pensionable.
Ipo hivi huo waraka utawahusu walimu ambao watatunukiwa astashahada na shahada kipindi walaka ukianza kutumika, pia utawahusu walimu ambao hawaja ajiriwa maama wako nje ya mfumo.
Mwisho: Kama unaona elimu uliyonayo haikutoshi fanya kujiendeleza na kuhusu mambo za waraka keep constant.
Na point yangu ni kuwa kama Nina diploma in secondary education Kwa huu mtahara napelekwa msingi au secondaryMbona kama unateseka wewe utauwa H kunani si uende tu ukasome upate shahada, Hujiulizi mbona shule ya msingi kuna walimu kibao wana shahada.
hivi hujawahi ujiuliza walimu wa shule za msingi waliopita kidato cha sita wakutosha nchi nzima watatoka wapi wakati hawapo(wengi ni cheti)
sasa nani ataefundisha huko wakiodolewa na bado hawawezi kuondolewa wakati mkataba wao ni permanent and pensionable.
Ipo hivi huo waraka utawahusu walimu ambao watatunukiwa astashahada na shahada kipindi walaka ukianza kutumika, pia utawahusu walimu ambao hawaja ajiriwa maama wako nje ya mfumo.
Mwisho: Kama unaona elimu uliyonayo haikutoshi fanya kujiendeleza na kuhusu mambo za waraka keep constant.
Ndio,hakuna Mwalimu atasomea cheti tena itakuwa ni degree tuu bila kujalisha ngaziWakuu karibu tujadili.
Sahivi Kuna sera mpya ya Elimu, na imepitishwa na serikali, na katika sera hiyo, Kuna mabadiliko kwenye eneo la walimu.
Katika sera mpya Ili ufundishe Sekondari ni lazima uwe na Degree/ Shahada.
Na Ili ufundishe shule ya msingi lazima upitie kidato Cha sita afu usome diploma.
Sahivi kuna vijana Wana diploma za ualimu wa secondary.
Je hao wataendelea kuajiriwa Sekondari au watapelekwa shule za msingi?
Na je ni halali mwalimu wa Diploma kufundisha Sekondari?
Karibu
utabaki hapo hapo ulipo.Na point yangu ni kuwa kama Nina diploma in secondary education Kwa huu mtahara napelekwa msingi au secondary
MsingiNa point yangu ni kuwa kama Nina diploma in secondary education Kwa huu mtahara napelekwa msingi au secondary
No nimemaanisha kama Nina diploma in secondary siajiriwa Tena secondary kwa huu mtaharaNdio,hakuna Mwalimu atasomea cheti tena itakuwa ni degree tuu bila kujalisha ngazi
Mmmmm na wenye certificate in primary education????Msingi
Utaajiliwa kwenda MsingiNo nimemaanisha kama Nina diploma in secondary siajiriwa Tena secondary kwa huu mtahara
Wapiutabaki hapo hapo ulipo.
Uwiii ngoja tusubiri ajira za mchengerwa yaani niwe na Diploma ya physics nipelekwe msingiUtaajiliwa kwenda Msingi
huwezi kupelekwa msingi mwalimu wa physics, hapo sasa ma H_kunani wawapeleke wapi?Uwiii ngoja tusubiri ajira za mchengerwa yaani niwe na Diploma ya physics nipelekwe msingi
Sawaahuwezi kupelekwa msingi mwalimu wa physics, hapo sasa ma H_kunani wawapeleke wapi?
Basi walimu wanaosoma physics wanajionaga mataita. Bro huku kazini ni mambwiga tuhuwezi kupelekwa msingi mwalimu wa physics, hapo sasa ma H_kunani wawapeleke wapi?
Tatizo hapa sio physics ni hiyo diploma 🤣🤣🤣🤣🪑💺Uwiii ngoja tusubiri ajira za mchengerwa yaani niwe na Diploma ya physics nipelekwe msingi
Hahaaa , huko kazn ni mabwga tuBasi walimu wanaosoma physics wanajionaga mataita. Bro huku kazini ni mambwiga tu
najua wengi huwa washamba pia hawapendezi.Basi walimu wanaosoma physics wanajionaga mataita. Bro huku kazini ni mambwiga tu
Ni Mtaala mkuu yah kulingana na haya mabadiliko utalazimika kwenda kuongeza elimuNo nimemaanisha kama Nina diploma in secondary siajiriwa Tena secondary kwa huu mtahara
Sio mtahara bana ni mtaala.No nimemaanisha kama Nina diploma in secondary siajiriwa Tena secondary kwa huu mtahara