Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,149
- 1,195
Wakuu karibu tujadili.
Sahivi Kuna sera mpya ya Elimu, na imepitishwa na serikali, na katika sera hiyo, Kuna mabadiliko kwenye eneo la walimu.
Katika sera mpya Ili ufundishe Sekondari ni lazima uwe na Degree/ Shahada.
Na Ili ufundishe shule ya msingi lazima upitie kidato Cha sita afu usome diploma.
Sahivi kuna vijana Wana diploma za ualimu wa secondary.
Je hao wataendelea kuajiriwa Sekondari au watapelekwa shule za msingi?
Na je ni halali mwalimu wa Diploma kufundisha Sekondari?
Karibu