Je dating(mahusiano) bila kufanya mapenzi ni urafiki tu?

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Apr 23, 2023
5,484
4,930
Habarini ndugu zangu,
Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi
Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti.
Swali langu ni
Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo tuseme na kazini mwanzoni.. ikitokea mkaka na mdada wanapendana na wametongozana na wamekubaliana kuwa wapenzi.. ila kwa kipindi fulani hawafanyi mapenzi au labda wakaachana bila kufanya mapenzi..(ila mambo ya kawaida ya love cjui kukiss vizawadi kuongea kukutana outings zipo) je utaita hayo ni mahusiano au walikuwa tu marafiki? Je mahusiano lazma kuwe na ngono na bila hivyo hamna kitu(kama vijana wa hovyo wanavyosema) na kingine ni kuhusu privacy ya relationship na pia mda wa relationship.. je relationship ikiwa private or/and ya mda mfupi inakuwa situationship na sio relationship?
Wanaume kwa wanawake mnakaribishwa
 
Kuishi bila kufanya sex and mnaitana Wapenzi That's nothing Bro!
Sex ni lazima, Hamwezi Mkawa mna date Miezi kama 6 au mwaka mzimA alaf hamjawahi Fanya sex and Kila siku mnakuwa Wote mnakutana mna Toka outing And hamfanyi "sex" ...
That's friendship buana!🙌
sex InajengA na kuimarisha Urafiki wenu Kuufanya kuwa Wapenzi Tiari!
Lakini unaweza ongelea swala la Ndoa, yaap!
Those a plans
kwamba ntakuoa So "Sex after marriage? "
hiyo tunaeza iita Realtion pia coz Tiari mmeshakuwa na Lengo... !🤷
And Mkija kuonana Lazima Mtafanya Tu so
"Sex" ni kigezo kikubwa sana Na ndo kitu kinacho kufanya wewe na rafiki Ako Kuingia kwenye mahusiano (Relation) but rather than that !😁
Nyie banh ni Marafiki tu....
Nadhan Hii ipo waazi🙌🙌😉
 
Back
Top Bottom