je boom,pesa ya ada au vyote huwa hulipwa bodi ya mikopo baada ya kuajiriwa?

JOH CARLOS

JF-Expert Member
May 13, 2016
579
269
habar wana jf.
je baada ya kuajiriwa huwa kunakua na makato ambayo serikali ilikulipia wakati ukiwa chuo yaani mikopo ,ni pesa ipi huwa wanakata? ,boom au pesa ya ada ambayo ni tofauti kwa wanafunzi.
 
my friend, serikali haikulipii kitu chochote pesa zote utalipa wewe mwenyewe kwani ulikuwa unakula wewe! unalipa pesa zote BOOM+ADA+STATIONERY+FIELD (PT), na bahati mbaya au nzuri waajiri siku hizi wanabidii kupeleka majina ya wanufaika bodi. hebu chungulia slip yangu angalia hapo kwnye nyekundu
 
Au kwa maneno rahisi ni pesa yote uliyowahi pewa ukiwa chuoni na ada uliyolipiwa kwa kipindi chote ulipokuwa chuo,sasa wale waliokuwa na 100% ndo wataelewa na wale waliopewa 0% wanakadeni kidogo.hakika kukopa harusi kulipa matanga
 
habar wana jf.
je baada ya kuajiriwa huwa kunakua na makato ambayo serikali ilikulipia wakati ukiwa chuo yaani mikopo ,ni pesa ipi huwa wanakata? ,boom au pesa ya ada ambayo ni tofauti kwa wanafunzi.
Kwani Wewe Uliposoma si Uliambiwa Unapewa Mkopo?
Au ulifikiri ndiyo sera ya Elimu Bure?
 
Samahani Mkuu,wanakata sh ngapi per month? Hela ya HESLB
 
nmekuelewa
 
Au kwa maneno rahisi ni pesa yote uliyowahi pewa ukiwa chuoni na ada uliyolipiwa kwa kipindi chote ulipokuwa chuo,sasa wale waliokuwa na 100% ndo wataelewa na wale waliopewa 0% wanakadeni kidogo.hakika kukopa harusi kulipa matanga
je wanafunzi wanaodisco na ambao hawajaajiriwa serikalini ,hulipishwa vp?
 
Waambie hao waajiri wako waandike ''deduction'' badala ya ''deducation''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…