Hack za mazoezi
1. Kuongeza muscle unahitaji protein na kufanya mazoezi
2. Kufanya mazoezi unahitaji energy ambayo utokana na calories
3. Kiasi cha calories unachokula kilingane na mazoezi au energy unayotumia wakati wa mazoezi
4. Calories ikizidi kuliko matumizi utaongezeka au kunenepa depending imezidi kiasi gani na inatumikaje
5. Calories ikiwa kidogo utapungua mwili
6. Usifanye mazoezi kila siku, mwili unahitaji kupumzika ili kujengeka
7. Mwili haujai muda ule unaofanya mazoezi bali muda unaopumzika baada ya kufanya mazoezi
8. Kila ukifanya mazoezi, unavunja vunja na kuuwa muscles, ukipumzika mwili una repair zila muscle zilizovunjika na kuongeza ili zisivunjike tena pindi ukifanya mazoezi kama ya mwanzo (ndo jinsi muscle zinavyoongezwa mwilini)
9. Protein ndo hujenga na kurepair muscle zilizovunjika, kama mwili haupati protein za kutosha, hata ufanya mazoezi vipi hutoongeza muscle.
10. Fanya mazoezi kwa ratiba na consistently
Sent using
Jamii Forums mobile app