Je Blue band itanisaidia Ku Build Muscles? Pia nikifanya Cardio Mkojo unakua wa njano sana Msaada

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,238
Wakuu nauliza BlueBand itanisaidia katika Ku build Muscles au ina madhara pia nikifanya Cardio huwa nakojoa mkojo wenye Rangi Sana Tatizo nini nikifanya zoezi la tumbo Digestion huwa inazingua naweza kukaa hata siku mbili bila haja Kubwa lakini nikienda ni kama kuharisha Kitu kinataka hata Kujaza sink msaada wakuu ninafanya mazoezi Sana siku hizi.
 
9e85be9138adff010a4fd96e0a220352.jpg
 
Hack za mazoezi
1. Kuongeza muscle unahitaji protein na kufanya mazoezi

2. Kufanya mazoezi unahitaji energy ambayo utokana na calories

3. Kiasi cha calories unachokula kilingane na mazoezi au energy unayotumia wakati wa mazoezi

4. Calories ikizidi kuliko matumizi utaongezeka au kunenepa depending imezidi kiasi gani na inatumikaje

5. Calories ikiwa kidogo utapungua mwili

6. Usifanye mazoezi kila siku, mwili unahitaji kupumzika ili kujengeka

7. Mwili haujai muda ule unaofanya mazoezi bali muda unaopumzika baada ya kufanya mazoezi

8. Kila ukifanya mazoezi, unavunja vunja na kuuwa muscles, ukipumzika mwili una repair zila muscle zilizovunjika na kuongeza ili zisivunjike tena pindi ukifanya mazoezi kama ya mwanzo (ndo jinsi muscle zinavyoongezwa mwilini)

9. Protein ndo hujenga na kurepair muscle zilizovunjika, kama mwili haupati protein za kutosha, hata ufanya mazoezi vipi hutoongeza muscle.

10. Fanya mazoezi kwa ratiba na consistently

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nzuri mkuu aisee
 
Mkuu nenda kafanye general body check up..kuna mahali hakupo sawa kwenye mfumo wa utoaji taka mwili na mfumo wa chakula
 
Blue and ni saturated fat ambayo inapozidi mwilini si nzuri, mkojo untoa uchafu mwilini ukiwa ni pamoja na urea sasa unapokuwa njano kunywa maji zaidi
So katika Magarine au Blue Band hakuna Proteins?
 
Huwezi jenga musuli kwa kula mafuta. Gonga nyama na mazoezi yapo ya kujenga na kukondesha. Kubeba vyuma kunajenga lakini kukimbia kunakausha mwili.
 
Back
Top Bottom