Je, bima huwa inawafidia wahanga Hawa?

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
2,608
5,243
Wakuu Kama kichwa Cha habari hapo juu.

Naomba kujuzwa, majeruwi na familia za wapendwa waliofariki zinazotokea kwenye mabasi ya mikoani au haya ya humu mijini yenye bima kubwa huwa wanafidiwa? Huwa wakipata majeraa wanatibiwa kwa gharama za Nani? Mmiliki wa chombo serikali au watajua wenyewe?

Naomba kujuzwa
 
Yeah wanafidiwa baada ya kesi kuisha maana wanaenda na nakala za hukumu na baadhi ya document kutoka polisi
 
Wakuu Kama kichwa Cha habari hapo juu.

Naomba kujuzwa, majeruwi na familia za wapendwa waliofariki zinazotokea kwenye mabasi ya mikoani au haya ya humu mijini yenye bima kubwa huwa wanafidiwa? Huwa wakipata majeraa wanatibiwa kwa gharama za Nani? Mmiliki wa chombo serikali au watajua wenyewe?

Naomba kujuzwa
Kwa mara ya kwanza nilisikia wahanga wa ajali ya Precision Air iliyotokea Bukoba wanapewa fidia 70,000,000 sasa sijui kwakuwa ilikuwa ni ndege!!!
 
Kwa mara ya kwanza nilisikia wahanga wa ajali ya Precision Air iliyotokea Bukoba wanapewa fidia 70,000,000 sasa sijui kwakuwa ilikuwa ni ndege !!!
Ndo uache kupanda mafuso unapokwenda mikoani kwa mashemeji na wakwe
 
Wanalipa ila Kuna vipengele pia wanaangalia,kama vile uzembe ulikua wa dereva,malipo yatakua tofauti ,wanaweza wakalipa bill kwa majeruhi na gari na sio gharama za mazishi
Gari Kama ilikua mbovu ,mwenye gari atalipa ,na wao wanaweza lipa ila sio gharama kubwa,Kisha mwenye gari watalipana kulingana na policy zao.gharama watatoa endapo gari halikua na tatizo Waka dereva hakua na tatizo
Kama ile ajali ya ndege ya bukoba
Ndio maana ela yao inachelewaga kutoka,kwa kua wanachunguza vitu vingi.vinginevyo kampuni inaweza kufa ingawa ni ngumu kufa
 
Back
Top Bottom