LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,472
- 30,912
Wakati Atheists wanakiri hadharani kwamba akili zao zimeshindwa kuielewa dhana ambayo wao wameibatiza jina na ku iita " The problem or Evil" , Watu wanao amini kuhusu uwepo wa Mungu nao wana ielezea Atheism kama " The Problem of Atheism"
But tofauti na Atheists ambao akili walizo pewa na Mwenyezi Mungu wameshindwa kuzitumia vizuri kuielewa dhana ya " The problem of Evil" ambayo kwao( kwa viwango vyao vya ufahamu) inabaki kuwa mystery, Theist wao tayari wameshapata majibu ya tatizo la Atheism( The problem of Atheism)
To the Theists, Atheism ni tatizo la afya ya akili..
Theists wana amini kwamba kutokuamini kuhusu uwepo wa Mungu ni tatizo la afya ya akili.
wanasema " Mtu ambae ana amini kitanda alicho kilalia ( ambacho ni very simple machine ) , kuna mtu ambae amekitengeneza, lakini yeye mwanadamu ambae mwili wake upo very complex hauna ambae ameutengeneza, mtu huyo ni mgonjwa akili."
Mtazamo wangu Binafsi ni upi?
Siwezi kukataa wala kukubaliana moja kwa moja na hoja hii ya hawa Theists lakini ninacho weza kusema ni kwamba Atheists ni watu wasio penda kuumiza vichwa vyao.
To me Atheism is just an escape root. They are escaping their responsibility . The responsibility to give answers. So by resorting into just saying there is no God, they are just escaping their responsibility through imagination.
Hawana tofauti na Adam alie ulizwa a very simple question " have u eaten the forbidden fruit"? " Ni huyu mwanamke ulie nipa"
Wanakwepa jukumu la kutoa majibu ambayo Mungu amewauliza wanadamu.
Unapotoa hoja kwamba Mungu hayupo kwa sababu eti Mungu mwenye upendo wote mwenye nguvu zote na mjuvi wa yote hawezi kuruhusu watu wake wateseke ni sawa na mtu anae sema " Huyu si baba yangu kwa sababu amenitesa na ana mtesa mama yangu " majibu ya kitoto kabisa.
Kwanini Mungu mwenye upendo wote, mwenye uweza wote na mjuvi wa yote anaruhusu viumbe wake wateseke? Hilo ni swali ambalo wewe mwanadamu umeulizwa na Mungu. Unatakiwa utoe majibu sahihi yenye kumake sense. Ukisema Mungu hayupo kwa sababu ya kukosa majibu ya swali hilo hapo juu unakuwa unaongelea kuhusu swali na sio kutoa majibu ya swali. Una kimbia swali kwa kusema " Mungu hayupo". Unakuwa sawa sawa na mwanafunzi anae sema swali hili limekosewa kwa sababu hajui jawabu lake. Kwa hiyo Athiests acheni kukimbia swali. Njooni tuumize vichwa kwa pamoja tuje na majibu ya swali hilo hapo juu pamoja na maswali yote mnayo kuuliza.