jiamini360
Member
- Jan 26, 2016
- 35
- 19
- Hapana hata kidogo. Wanaweza kufanya kile tu kinachokubalika kisheria. Kwa kweli wanatawaliwa na kanuni nyingi na kali. Hii ni pamoja na kanuni zao wenyewe, taratibu zilizowekwa kwa ajili ya uhalifu (criminal codes), amri zinazotolewa na mahakama ya rufaa, na miongozo kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Kwani chenge ni amri jeshi mkuu?au ni IGP?Au ni ACP n.k.Askari wetu hawajaingia Bungeni wenyewe bali wameitwa na Mkuu wa Bunge na wao wakishaitwa hawawezi kukaidi ni lazima waende!
Kwani chenge ni amri jeshi mkuu?au ni IGP?Au ni ACP n.k.
Ni kosa jeshi la polisi kuingia bungeni
wewe hujui unacho zungumza... askari hawezi hata kuingia nyumbani kwako kukusachi bila kibali cha mahkama. polis hawafati amri za mtu youote tu yule kisa anacheo fulani. nchi zote duniani polisi wanafanya kazi kwa sheria tatizo wabongo watufati hizo sheria.. bongo polis anaweza kukupiga bila ya kua na kosa lolote na asifanywe kitu wakat nchi kama marekani polis akipiga mtu anafikishwa mahkamani na kufukuzwa kazi hata kama aliempiga alikua na makosa
Hakuna kosa hapo! Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale pindi waitwapo, na Kiongozi yoyote yule anaweza kuita askari hata Mchungaji Kanisani au Shehe msikitini ikitokea fujo wakaita askari basi askari wana jukumu la kuja na watakuja kumchomoa mhalifu ni rahis kihivyo tu!
Hivyo ulipaswa umuulize Mkuu wa Bunge kwa nini aliita Askari lkn siyo kuuliza kwa nini askari waliingia Bungeni askari anaingia popote pale hata chumbani kwako ukiwa umelala usiku atakuchomoa akupeleke unakohitajika!
Ndiyo maana wakaitwa wana usalama yaani wanalinda usalama wa wa raia na mali zao!
Acha kupotosha,Bunge lina asikari wake.Na wao ndio jukumu lao sio FFU