Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,728
Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store).
Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple ukaboreshwa, wakatangaza atakayeweza ku jailbreak iPhone 5s analipwa billion 6 za kitanzania..wahuni wakafanikiwa kujail break solution tukapata ikawa easy.
Ugumu ukawa kutoa iCloud lock,ukiokota iphone au kusahau password ya iCloud yako simu inakua KOPO.
ila akatokea mrusi anaitwa Vighor akagundua kitu kinaitwa DNS bypass..ukiingia Kwenye server yake, ukiwa USA unatumia server hii,
104.154.51.7
Africa;104.155.28.90
Kupitia servers hizo iPhone iliyoibiwa mwizi anaweza kutumia simu yako ila hatoweza kupiga simu Wala kutuma SMS..ni mwendo wa WiFi tu.
Solution hii inatumika Hadi leo (hata Kwenye latest iPhones).
Zilipotoka iPhone 7 ikagundulika njia ya ku bypass iCloud activation lock.
Means ukiibiwa simu mtu anatoa passcode kwa kutumia computer then ikitaka aweke iCloud yako,ana bypass activation lock,anatumia simu vizuri Kama yake,anaweka iCloud yake.anapiga simu,ana download apps. Mimi binafsi Nisha bypass iPhones zaidi ya 10 aina tofauti na iOS versions LATEST KABISA(sio za wizi kujifunza)..ila sharti usi restore simu. Ku bypass icloud activation lock inawezekana mara moja tu.
Swali; kwanini Apple wanasema simu ikiibiwa find my iPhone ikiwa ON mwizi hatoweza kuitumia??wakati hapa dar watu kibao wanatumia iPhones za wizi? icloud activation lock inarukwa? Apple hawajui?
Nachofahamu DNS BYPASS Apple wameshindwa kuifunga coz inatumia Captive portal, ambayo kama Apple akifunga haitowezekana ku activate hata simu ambazo sio za wizi.