Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,017
- 10,123
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter, rapper na mfanyabiashara anayejulikana kama Jay-Z, kama mshtakiwa katika kesi ya madai.
Carter ndiye mtu mashuhuri wa kwanza kushtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono kuhusianishwa na Combs.
Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Jane Doe, anasema alikuwa na umri wa miaka 13 wakati anadaiwa kunyanyaswa kingono na Combs na Carter kwenye after party iliyofuata Tuzo za Video Music Awards mwaka wa 2000.
Mwanamke huyo anadai alianza kuhisi kichefuchefu baada ya kunywa kinywaji katika party na kukimbilia katika chumba cha kulala kilicho jirani.
Mwanamke huyo anadai Jay Z alimbaka kwanza, akifuatiwa na Diddy. Mwanamke huyo anasema alimpiga Combs na kukimbia nje ya sherehe, kulingana na kesi iliyorekebishwa.
Kwenye hii kesi Carter "Jay Z" anatambuliwa kama celebrity A
Kesi inasema wakati Jay Z anambaka binti hiyo Diddy na celebrity B ambaye ni mwanamke walikuwa wakiangalia tukio hilo. Swali ni huyo celebrity B ni nani? Wengine wameanza kusema huenda ni J Lo.
Kulingana na kesi hiyo, mawakili wa Doe walifika kwa Carter kuomba "upatanishi wa kutatua suala hili."
Jay-Z alikanusha madai hayo na kumshutumu wakili Tony Buzzbee wa Texas kwa kufungua kesi hiyo dhidi yake.
======\
In a shocking development, rapper Jay-Z, whose real name is Shawn Carter, has been accused of drugging and raping a 13-year-old girl in 2000. This allegation comes from a civil lawsuit filed in federal court on Sunday, which also names Sean “Diddy” Combs as a co-defendant.Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter, rapper na mfanyabiashara anayejulikana kama Jay-Z, kama mshtakiwa katika kesi ya madai.